atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Juhudi za kupunguza kitambi zianze sasaUzembe wako kuwa na kitambi, ila kuwa na mimba ni juhudi
Juhudi za kupunguza kitambi zianze sasaUzembe wako kuwa na kitambi, ila kuwa na mimba ni juhudi
Juhudi na mipango kwani kuna njia nyingi za kupanga uzaziUzembe wako kuwa na kitambi, ila kuwa na mimba ni juhudi
Uzazi wa mpango ni elimu yenye manufaaJuhudi na mipango kwani kuna njia nyingi za kupanga uzazi
Uzazi wa siku hizi umekuwa wa tabuuJuhudi na mipango kwani kuna njia nyingi za kupanga uzazi
Sasa hivi kufanya linalowezekana kuondoa kitambi kwa mazoezi na kuepuka vyakula vya mafutaJuhudi za kupunguza kitambi zianze sasa
Mwanao unaweza kumuita shukuru, neema au nuruTabu ni jina la nuksi ukimpa mwanao
Mwanao anaitwa naniTabu ni jina la nuksi ukimpa mwanao
Nani amesema mzazi anapojifungua hataki supuMwanao anaitwa nani
Nuru the light auMwanao unaweza kumuita shukuru, neema au nuru
in sha allah mwenyezi mungu akujaalie kwa hilo jambo.....Pia nitatoa sadaka inshaallah
DuuhNani amesema mzazi anapojifungua hataki supu
kenya wanatuzidi kiuchumi...Silali ni boda ya Tz na Kenya
Au unaweza kumwita heri, salama, amani na majaliwaNuru the light au
kusikiliza muziki inaleta faraja...Music huwa sipendi kusikiliza
jambo liwe la heriin sha allah mwenyezi mungu akujaalie kwa hilo jambo.....
Kiuchumi pia kiteknolojiakenya wanatuzidi kiuchumi...
mshalala au bado..???...Njooni huku mshalala
email gani anatumia...??...Simu cku izi ni bei ghali sana labda umuandikie email