Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Bado tupo tunaangalia maadhimisho ya uhurumshalala au bado..???...
Bado tupo tunaangalia maadhimisho ya uhurumshalala au bado..???...
Bado tupomshalala au bado..???...
Tupo wewe na naniBado tupo
marufuku kujihusisha na uvutaji wa shisha...??...Mtumba umepigwa marufuku
Anatumia ile ya kwako siku hiziemail gani anatumia...??...
Uhuru tunaangalia maadhimisho ya sherehe za miaka 55, tumemaliza kuangalia ngoma za wapemba wanazocheza baada ya bamvua la samaki na baada ya mavunoBado tupo tunaangalia maadhimisho ya uhuru
Shisha ni kitu ganimarufuku kujihusisha na uvutaji wa shisha...??...
Mavuno yamepungua sana mwaka huuUhuru tunaangalia maadhimisho ya sherehe za miaka 55, tumemaliza kuangalia ngoma za wapemba wanazocheza baada ya bamvua la samaki na baada ya mavuno
siku hizi umeadimika mno...Anatumia ile ya kwako siku hizi
kitu gani kinachokukera..??...Shisha ni kitu gani
Shisha ni kitu gani zaidi kukuelezea kwa kifupi kwamba ni uvutaji wa sigara(tumbaku) kwa kutumia bombaShisha ni kitu gani
Mwaka huu mavuno yalikuwepo sema bei za mazao hazikuelewaka zilikuwa zinapanda na kushukaMavuno yamepungua sana mwaka huu
Kushuka huko kumewafanya wakulima wapate hasaraMwaka huu mavuno yalikuwepo sema bei za mazao hazikuelewaka zilikuwa zinapanda na kushuka
Hizi ndo hasara zenyeweBomba letu halitoi maji siku hizi
Hasara inawakatisha tamaa wakulimaKushuka huko kumewafanya wakulima wapate hasara
Kinachokukera mpaka ushindwe kuwa mshindikitu gani kinachokukera..??...