baya ni baya tu hata ulipake rangi litabaki kuwa baya tu.Jema lolo ili lionekane lazima lilinganishwe na baya
baya ni baya tu hata ulipake rangi litabaki kuwa baya tu.Jema lolo ili lionekane lazima lilinganishwe na baya
Baya tu..!! nani kasema..?? kuna uzuri wa mambo mabaya piabaya ni baya tu hata ulipake rangi litabaki kuwa baya tu.
Pia kuna ubaya wa mambo mazuriBaya tu..!! nani kasema..?? kuna uzuri wa mambo mabaya pia
Haraka wakati mwingine inatakiwa, inategemea tu na mambo yenyeweMazuri mambo hayataki haraka
Haijakaa sawa sababu muda wake badoYenyew mipango yangu haijakaa sawa
Bado nani kasema..? what is your refference?Haijakaa sawa sababu muda wake bado
refference kaitafute kwenye dictionaryBado nani kasema..? what is your refference?
Imetoka muvie ya Tino bongomuvie mwezi huu wa desemba, ni moto wa kuotea mbali.Dictionary ya Oxford 9th edition imetoka!?
Mbali mbinguni tu jombaaImetoka muvie ya Tino bongomuvie mwezi huu wa desemba, ni moto wa kuotea mbali.
Jombaa ni gani, ni fulu mzukaMbali mbinguni tu jombaa
Mkali wa mpira, hata mkiwa watu watatu tu hapatoshiMuzuka wa Mpira na muziki upi mkali
Mkali wa mpira, hata mkiwa watu watatu tu hapatoshi
Akaibiwa pochi maeneo ya feri kigamboniAlisinzia ndo maana akaibiwa