supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wapi zaidi ya kurudi nyumbani kwa mama na babaToka niende wapi
Wapi zaidi ya kurudi nyumbani kwa mama na babaToka niende wapi
Baba na mama nawapenda kwa malezi yao boraWapi zaidi ya kurudi nyumbani kwa mama na baba
Bora ushukuru Mungu kwa kupata malezi yao Mungu akubariki sana, wengine wameishi katika vituo vya kulelea yatima sababu wametelekezwa na wazaziBaba na mama nawapenda kwa malezi yao bora
Wazazi wa namna hiyo wapo wachache mno, ila Mungu nakushukuru kwa zawadi ya kunipa wazazi boraBora ushukuru Mungu kwa kupata malezi yao Mungu akubariki sana, wengine wameishi katika vituo vya kulelea yatima sababu wametelekezwa na wazazi
Bora elimu sio nzuri kama elimu bora ukiipata shuleniWazazi wa namna hiyo wapo wachache mno, ila Mungu nakushukuru kwa zawadi ya kunipa wazazi bora
Shuleni nako siku hizi elimu inasua suaBora elimu sio nzuri kama elimu bora ukiipata shuleni
SUA ni chuo kizuri sana kinatuletea vipajiShuleni nako siku hizi elimu inasua sua
Vipaji vya mpira bongo vichache
Motisha ni kuwapa vifaa vya michezo na kuwadhamini na kuwalipa mshahara mzuri waweze kujikimu katika maishaVichache sababu hamna motisha
Mchezo dakika 90 kuna kushinda, suluhu na kushindwa, tujifunze kukubali matokeoMotisha niliyoipata wakati wa mechi si mchezo
Mchezo dakika 90 kuna kushinda, suluhu na kushindwa, tujifunze kukubali matokeo
Kutangazwa mshindi na wao wapate uongozi bora kama rais wao wa miaka mingi aliitwa kwame nkrumah huyo ni level za kina Joachim chesano na Mwalim nyerere baba wa taifamatokeo ya uchaguzi wa Ghana yameshaanza kutangazwa
Taifa limepoteza ubora wakeKutangazwa mshindi na wao wapate uongozi bora kama rais wao wa miaka mingi aliitwa kwame nkrumah huyo ni level za kina Joachim chesano na Mwalim nyerere baba wa taifa
Ubora wake mpaka apendeze na utamuona mzuri, usiombe siku kuwe na harusi au sherehe, hutaamini kama ni yeyeTaifa limepoteza ubora wake
Sumli yake itatumika katika mambo muhimuYeye Mwenyewe hajimudu sumli
Muhimu ni kufanya kazi kwa bidii, kuomba na kuishi vzr na wenzakoSumli yake itatumika katika mambo muhimu