BAHARI J
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 932
- 1,159
Wamelala uku wamepakatanaWote bado wamelala
Wamelala uku wamepakatanaWote bado wamelala
Katana sana mapanga wahuni wa kitaa maskaniWamelala uku wamepakatana
Wapi tena zaidi ya manzese midizini kwa ndaniMaskani yako mkuu ni wapi
Eee hukuhuku karibu na kwa mfuga mbwaNdani ndani kidogoeeee
Mkali sana sababu ni mlinzi analinda mali ya bwana mwenye nyumbaMbwa wetu ni mkali sana
Mbwa wetu ni mkali sana
Mkali sana au ana hasiraMbwa wetu ni mkali sana
Mkali sana sababu ni mlinzi analinda mali ya bwana mwenye nyumba
Mkali sana au ana hasira
Mola ndo mlinzi na mfariji wetuhasira ya nini kwenye hii dunia aliyoumba mola
Mola ndo mlinzi na mfariji wetu
Dunia ya Mola haina shidaUnachohitaji nini katk hii dunia
Dunia ya Mola haina shida
Walimwengu hawana jemashida imeletwa na walimwengu
Jema lolo ili lionekane lazima lilinganishwe na bayaWalimwengu hawana jema