supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Nakupenda sana kariakoo mitaa ya msimbazi na sokoniKigamboni nakupenda
Nakupenda sana kariakoo mitaa ya msimbazi na sokoniKigamboni nakupenda
Nakupenda sana kariakoo mitaa ya msimbazi na sokoni
Maana ya kuisoma namba ni?Sokoni NI sehemu nzuri kushukuru neema za Mwenye EZ Mungu.matunda ya akila aina,mboga za aina tofauti Na vitowewo vya maana.
Ni nini, irk best mbona umepotea sana mkuuMaana ya kuisoma namba ni?
Ni nini, irk best mbona umepotea sana mkuu
Saa saba usiku leo nipo macho sina usingiziMkuu irk bado hajalala saa saba usiku.
Saa saba usiku leo nipo macho sina usingizi
Rudi unaenda wapi
Kiingereza ni lugha ya kigeniKinaeleweka zaidi kiswahili hapa Tanzania kuliko kingereza
Kigeni kimeingia mtaani watu wanaongea swanglish kuchanganya lughaKiingereza ni lugha ya kigeni
Lugha yenyewe ukiichanganya haileti mantikiKigeni kimeingia mtaani watu wanaongea swanglish kuchanganya lugha
Mantiki ya kuzungumza maneno yote yale kwa hasira huku hakupi ushirikiano, ndugu yangu amka utambue akufukuzae hakwambii tokaLugha yenyewe ukiichanganya haileti mantiki
Toka niende wapiMantiki ya kuzungumza maneno yote yale kwa hasira huku hakupi ushirikiano, ndugu yangu amka utambue akufukuzae hakwambii toka