Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Pia,Pie,pio,piu ni lahaja za kigiriki huko Greece hutumika katika upambaji.....Gani ni kiswahili pia
Pia,Pie,pio,piu ni lahaja za kigiriki huko Greece hutumika katika upambaji.....Gani ni kiswahili pia
Niipendayo pale ukumbi wa sherehe za harusi zinapo pambwa kwa zari.....!!Upambaji ni fan niipendayo
kwa zari.....!! Au Diamond?Niipendayo pale ukumbi wa sherehe za harusi zinapo pambwa kwa zari.....!!
Jubilee ni sherehe za kuadhimisha taadhima za wapendanao..!!Diamond jubilee
Balaa kivipi?Harusi za siku hizi ni balaa
ndoa ni tendo na sio harusi
Nini ulichokiona zaidi Bi Blacky.., Ulijibwaga...?Sana yaani ilikuwa km yangu nini
Mwenzangu alichelewa kufika station.., hivyo treni ilimwacha Tabora!!Ulijibwaga wapi mwenzangu
ipi ile rangi yenye kuwakilisha kinyaa...?😛Tabora imepakana na mikoa ipi
Namba 10 ndo namba yangu ya viatuTena mtaisoma namba