supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kheri kumfadhili mbuzi binadamu atakuuzi, huu ni msemo wa zamaniYote kheri
Kheri kumfadhili mbuzi binadamu atakuuzi, huu ni msemo wa zamaniYote kheri
Zaman za Kale, haya haya pamekucha kujeni tuendelee.Kheri kumfadhili mbuzi binadamu atakuuzi, huu ni msemo wa zamani
Tuendelee kumtukuza Mungu kumekucha. Wazima woteZaman za Kale, haya haya pamekucha kujeni tuendelee.
Wote bado wamelalaTuendelee kumtukuza Mungu kumekucha. Wazima wote
Wamelala sa hizi?? Mie nafikiri wako busy na majukumuWote bado wamelala
Wamelala sa hizi?? Mie nafikiri wako busy na majukumu
Sana mpaka watu wanashindwa kuingia jf kuperuziMajukumu ni mengi sana
Sana mpaka watu wanashindwa kuingia jf kuperuzi
Hili ndo taifa letuKuperuz na kudadisi yanayoendelea ktk taifa hili
Limeharibika sana? PoleniLetu gari limeharibika
Poleni tena? Mimi nilidhani utamuuliza kilichoharibika ili umpelekee gari itengamaeLimeharibika sana? Poleni
Itengemae kwa maneno ya jfPoleni tena? Mimi nilidhani utamuuliza kilichoharibika ili umpelekee gari itengamae
Stress zinarudi bada ya kuachana na JFJf naipenda san kwa kujifunza na kuondoa stress
Thinkers in every angleJF home of great thinkers
angle hata kitandani ipoThinkers in every angle

Ipo eneo ganiangle hata kitandani ipo![]()