Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Pekee? Umesahau kuna sukari iliagizwa kutoka nje
Kutokea nje ipi
Pekee? Umesahau kuna sukari iliagizwa kutoka nje
Ipi tena usiyoijua wewe, bwana mkubwa aliagiza kwa majirani zetu Kenya hapoKutokea nje ipi
Ipi kama siyo ya kilombero na mtibwa, bakhresa ndo ameruhusiwa na magufuli kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kwa sababu anahitaji kwa wingi katika viwandaKutokea nje ipi
Chocolate ni chanzo cha kupata ugonjwa wa kisukariNguvu za kiume mpk chocolate aisee ngoja nipunguze ulaji wa chocolate.
Hapo ulipo nasi tupo karibuIpi tena usiyoijua wewe, bwana mkubwa aliagiza kwa majirani zetu Kenya hapo
Viwanda vyetu vitakufaIpi kama siyo ya kilombero na mtibwa, bakhresa ndo ameruhusiwa na magufuli kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kwa sababu anahitaji kwa wingi katika viwanda
Viwanda vingine vimeshindwa kuzalisha bidhaaIpi kama siyo ya kilombero na mtibwa, bakhresa ndo ameruhusiwa na magufuli kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kwa sababu anahitaji kwa wingi katika viwanda
Viwanda Tanzania ni vichache sana, ndo maana tunaagiza njeIpi kama siyo ya kilombero na mtibwa, bakhresa ndo ameruhusiwa na magufuli kuagiza sukari kutoka nje ya nchi kwa sababu anahitaji kwa wingi katika viwanda
Nje wameruhusiwa wenye uhitaji mkubwaViwanda Tanzania ni vichache sana, ndo maana tunaagiza nje
Nje kuna Viwanda vingi na vinazalisha bidhaa bora kutokana na malighafi zinazotoka nchini mwetuViwanda Tanzania ni vichache sana, ndo maana tunaagiza nje
Navyo viwanda vitaingiliwa na mafisadi kama vingineMwetu nchini kuna viwanda vingi ambavyo hatuna faida navyo
Vingine haviwezekani maana lazima mimi niwe mshindi tuNavyo viwanda vitaingiliwa na mafisadi kama vingine
Mshindi tumekukubali endapo comment yako ndo ya mwisho kwenye uziVingine haviwezekani maana lazima mimi niwe mshindi tu
Mimi ndo mshindi na namuomba muanzisha uzi aje anipe zawadiUzi huu mshindi mimi
Nini zaidi ya kombe na cheti cha kuhitimu ushindiZawadi ya nn
Ushindi wenyewe naona naporwaNini zaidi ya kombe na cheti cha kuhitimu ushindi
Naporwa wallet yangu ndani ya daladalaUshindi wenyewe naona naporwa