Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nguvu za kiume mpk chocolate aisee ngoja nipunguze ulaji wa chocolate.
Chocolate inasaidia kuongeza stamina kwenye kufanya mapenzi kwasababu ina viambato vya phenylethylamine na alkaloid. Phenylethylamine ni kiambato kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati wa kufanya mapenzi na alkaloid huongeza stamina na nguvu wakati wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom