Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Ww sikuku ni kila siku hata leoSiyo vizuri kukaa kumya wakati jirani anaongea na wewe
Ww sikuku ni kila siku hata leoSiyo vizuri kukaa kumya wakati jirani anaongea na wewe
Sikukuu kusherehekea na Aishah2016 siyo vizuri... Mwenye mali akiwaona anaweza akauwa mtuVizuri, kwanza uliza hiyo mali ni ya nani? ili uweze kusherehekea na Aishah2016 sikukuu....
Leo skukuu gani hakuna pilau wala vinywajiWw sikuku ni kila siku hata leo
Vinywaji ndo nimeagiza ila pilau lipo taarLeo skukuu gani hakuna pilau wala vinywaji
Tayari nipo mezani nimeshakaa mkao wa kula, naomba maji ninawe mikonoVinywaji ndo nimeagiza ila pilau lipo taar
Mikono? Hapana usinawe tu mikono, ungeoga kabisaTayari nipo mezani nimeshakaa mkao wa kula, naomba maji ninawe mikono
Ukweli mtupu umeshuhudia wapi hayo.....?Kabisa yaani ukweli mtupu
Ukweli mtupu mimi nataka kula sasa ninawe mikono, vipi niende kuogaKabisa yaani ukweli mtupu
kuoga, utaoga wewe au unajimwagia maji, wanaooga ni wale wenye umushinoUkweli mtupu mimi nataka kula sasa ninawe mikono, vipi niende kuoga
Kuoga kunasaidia wadudu au bakteria walioko miguu wataondoka ... ukiishia kunawa tu, watapanda hadi hapo mkononiUkweli mtupu mimi nataka kula sasa ninawe mikono, vipi niende kuoga
Ukweli mtupu mimi nataka kula sasa ninawe mikono, vipi niende kuoga
Shino au pnc ni msanii wa bongofleva alihit sana kitambokuoga, utaoga wewe au unajimwagia maji, wanaooga ni wale wenye umushino
Umushino wajange kumtaketake kumkumlila.kuoga, utaoga wewe au unajimwagia maji, wanaooga ni wale wenye umushino
Mikononi nanawa na sabuni, hakutabaki bacteria, uchafu wala vumbiKuoga kunasaidia wadudu au bakteria walioko miguu wataondoka ... ukiishia kunawa tu, watapanda hadi hapo mkononi
tu tu tu tu tu ulisika mlio wa mashine gun ukimwaga risasi.asanteni kwa kuniachia ushindiKuoga so lazma ka kula so ww nawa tu
tu tu tu tu tu ulisika mlio wa mashine gun ukimwaga risasi.asanteni kwa kuniachia ushindi
Hivyo inabidi akomae sana, juhudi zake tutampatia uongozi au kombeUshindi kiraisi ivyo
Kombe la la dhahabu au la plasticHivyo inabidi akomae sana, juhudi zake tutampatia uongozi au kombe
Plastic utatengenezea kombe gani?Kombe la la dhahabu au la plastic