supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kutumbuliwa jipu kunauma kupoteza wadhifa, heshima na kaziKipindupindu kimeshaibuka baadhi yamaeneo ilaviongozi wanaficha kwakuhofia kutumbuliwa
Kutumbuliwa jipu kunauma kupoteza wadhifa, heshima na kaziKipindupindu kimeshaibuka baadhi yamaeneo ilaviongozi wanaficha kwakuhofia kutumbuliwa
Kutumbuliwa ni aibu sanaKipindupindu kimeshaibuka baadhi yamaeneo ilaviongozi wanaficha kwakuhofia kutumbuliwa
Aibu sana mpenzi wako kuzungumza hadharani mambo ya chumbaniKutumbuliwa ni aibu sana
Chumbani Pana mwanga hafifuAibu sana mpenzi wako kuzungumza hadharani mambo ya chumbani
Hafifu sio mbayaChumbani Pana mwanga hafifu
Mwanga hafifu inapitisha kiwango kidogo cha oksijeni, ukitaka mwanga wa kutosha washa taa au fungua dirishaChumbani Pana mwanga hafifu
Hafifu ni neno ambalo likikaa mbele ya nomino huwa kivumishi cha sifa je unazani mimi ni dhaifu?Chumbani Pana mwanga hafifu
Aibu sana mpenzi wako kuzungumza hadharani mambo ya chumbani
Hatujielewi maana ya chumbani siku hizi yanafanyika hadharaniChumba kinaheshima zake sema tu vijana tulio wengi hatujielewi
Hadharani tumeona watu wakifanya yao pembeni ya barabara na picha zimepigwa zinasambaa fb na whatsappHatujielewi maana ya chumbani siku hizi yanafanyika hadharani
Fb na whatsapp ni mitandao ya kijamiiHadharani tumeona watu wakifanya yao pembeni ya barabara na picha zimepigwa zinasambaa fb na whatsapp
Whatsapp ndo zaidi zinasambazwa video bila aibuHadharani tumeona watu wakifanya yao pembeni ya barabara na picha zimepigwa zinasambaa fb na whatsapp
Bila aibu mtu na mpenzi wake wakiwa faragha wanajipiga pichaWhatsapp ndo zaidi zinasambazwa video bila aibu
Picha hizo sielewi huwa wanazipiga ili iwejeBila aibu mtu na mpenzi wake wakiwa faragha wanajipiga picha
chumbani pana mambo
Mambo ya chumbani ukitaka uinjoy piga chabochumbani pana mambo

Mambo ya chumbani ukitaka uinjoy piga chabo![]()