Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Daladala siku hizi zimekuwa hazina usalamaNaporwa wallet yangu ndani ya daladala
Daladala siku hizi zimekuwa hazina usalamaNaporwa wallet yangu ndani ya daladala
Naporwa wallet yangu ndani ya daladala
Usalama unapatikana kwenye mwendokasi, taxi, bajaji na bodabodaDaladala siku hizi zimekuwa hazina usalama
Usalama unapatikana kwenye mwendokasi, taxi, bajaji na bodaboda
Afya hasa kwenye kupata ajali, unaweza kupata ulemavuBodaboda ni usafir wa haraka lkn htr kwa afya
Afya ya mtu haipimwi kwa macho
Watu wamefurahi sana leoJongoo mpenda watu
Watu wamefurahi sana leo
Mwanza juzi kulikuwa na safisha jijiWamefurahi baada ya mkulu kuruhusu wamachinga warudi makoroboi nakuendelea na shughuli zao bila bugudha jijini Mwanza
Jiji letu ni Safi kiasMwanza juzi kulikuwa na safisha jiji
Jiji litaanza kuchafuka tenaMwanza juzi kulikuwa na safisha jiji
Mwanza juzi kulikuwa na safisha jiji
Jiji litaanza kuchafuka tena
Mvua zikiongezeka mifereji na mitaro itafurika na kusababisha magonjwa ya milipuko kama magonjwa ya tumbo na kipindupinduItachafuka baada ya mitaro ya maji kuziba kipindi cha mvua
Kipindupindu kishaanza darMvua zikiongezeka mifereji na mitaro itafurika na kusababisha magonjwa ya milipuko kama magonjwa ya tumbo na kipindupindu
Mvua zikiongezeka mifereji na mitaro itafurika na kusababisha magonjwa ya milipuko kama magonjwa ya tumbo na kipindupindu