supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Watanzania tumestaarabika kwa elimu ndogo/kubwa tulizopata shuleni na kwenye seminaAmani na upendo ndo silaha yetu watanzania
Watanzania tumestaarabika kwa elimu ndogo/kubwa tulizopata shuleni na kwenye seminaAmani na upendo ndo silaha yetu watanzania
Hakuna tena uhalifu na biashara haramu ya madawa ya kulevyaSemina elekezi siku hizi hakuna
Kulevyaa n madawaa hatarii Sana'a jombaaaHakuna tena uhalifu na biashara haramu ya madawa ya kulevya
Jombaa acha wenge wewe wida me naikubali balaaKulevyaa n madawaa hatarii Sana'a jombaaa
Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sautiBalaa ni pale uliporuka kutunga sentes unayoanza na silabi
Sauti ya yule miss Tz aliepita( lilian kamazima) ni nzuri kama ya kasukuSilabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sauti
Wapi wanapatikana hao viumbeKwakweli me cjawahi muona ko cjuh uajabu wake uko wapi
Viumbe wengine bado hawajajulikana na wanasayansiWapi wanapatikana hao viumbe
Mungu yupo, asieamini uwepo wake basi hakuna haja ya kumlazimishaWanasayansi Mara nyingi hawaamini kama kuna uwepo wa mungu
Yupo mmoja kati yao, hana wemaKuna haja ya kumfundisha mpaka akili kwamba Mungu yupo