atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Anadharauliwa kwanza tujue maana ya mswahiliMswahili sijui kwa nini anadharauliwa
Anadharauliwa kwanza tujue maana ya mswahiliMswahili sijui kwa nini anadharauliwa
Achali haifikii mapenzi endapo utampata aliesahihi kwako ktk mahusiano/ndoaMapenzi tu ndo matamu kama achali
Achali !! wengi hawaijui hebu wamenyee kidogo na uwaonjeshe...!!Mapenzi tu ndo matamu kama achali
uwaonjeshe kidogo tu ukizidisha italeta shida maana uzuri wake ni wa kipekee.Achali !! wengi hawaijui hebu wamenyee kidogo na uwaonjeshe...!!
uwaonjeshe kidogo tu ukizidisha italeta shida maana uzuri wake ni wa kipekee.
Na baada ya kuvijua tutavifanyia kaziHivyo ndo waswahili tunavyovijua
Kazi kufanya kwa bidii huleta matokeo chanya.Na baada ya kuvijua tutavifanyia kazi
Chanya na hasiKazi kufanya kwa bidii huleta matokeo chanya.
Hasi ni ndogo kuliko sifuriChanya na hasi
Wallet gani ina 0??0 ni idadi ya pesa niliyonayo kwenye wallet
Zero "0" yadhihirisha kuwa umefilisika patupu hata hujitambui.....😀!!Wallet gani ina 0??
D!! Ndo nini sasaZero "0" yadhihirisha kuwa umefilisika patupu hata hujitambui.....😀!!
Sasa ni wakati wa kupumzikaD!! Ndo nini sasa
Kupumzika kwani ulikuwa machinjioni au mashindanoni...?Sasa ni wakati wa kupumzika
kupumzika kwa amani?Sasa ni wakati wa kupumzika
Amani na upendo ndo silaha yetu watanzaniakupumzika kwa amani?