Dar ndo kila kitu, sijui itakuwaje watu wakihamia dodomawakuu wa mikoa hawana akili kama za makondakta wa dar
dodoma tutajenga m city nyingine,quality centre, na tuhahamishia bahari mitaa ya chamwinoDar ndo kila kitu, sijui itakuwaje watu wakihamia dodoma
Dodoma wapi kule kwenye ukame ka jangwani??? Haendi mtu labda magufuli na supermarketDar ndo kila kitu, sijui itakuwaje watu wakihamia dodoma
Supermarket nabaki hapa hapa dar mkuu siendi popote, kwanza naona safari ya dodoma imekuwa ngumu sijuiDodoma wapi kule kwenye ukame ka jangwani??? Haendi mtu labda magufuli na supermarket
Sijui kama ataenda mtu, maana usafiri wenyewe ni wa SUMATRA.....Supermarket nabaki hapa hapa dar mkuu siendi popote, kwanza naona safari ya dodoma imekuwa ngumu sijui
SUMATRA wajitahidi kuwa wabunifu wakishirikiana na askari wa usalama barabara kupunguza ajaliSijui kama ataenda mtu, maana usafiri wenyewe ni wa SUMATRA.....
Ajali nyingi hutokea wakati madereva wakiwa taabani bin tafrani ya Safari.....SUMATRA wajitahidi kuwa wabunifu wakishirikiana na askari wa usalama barabara kupunguza ajali
Safari ndefu bila kupumzika inabidi madereva wale mirungi ili wasipate usingiziAjali nyingi hutokea wakati madereva wakiwa taabani bin tafrani ya Safari.....
Usingizi !! looh kumbe na mirungi nayo huchangia uzembe wa uProfeshno !!!Safari ndefu bila kupumzika inabidi madereva wale mirungi ili wasipate usingizi
Uprofeshno ndio unaotakiwa ktk sekta ya afyaUsingizi !! looh kumbe na mirungi nayo huchangia uzembe wa uProfeshno !!!
Uprofeshino upo tuu wewe hata utumie mirungi kiasi gani kama unajua unajua tuuuuUsingizi !! looh kumbe na mirungi nayo huchangia uzembe wa uProfeshno !!!
Tuuuh !! alitema mate chini alipo muona kinyonga......Uprofeshino upo tuu wewe hata utumie mirungi kiasi gani kama unajua unajua tuuuu
Rangi hubadilika machoni mwetu tu, Lakini kinyonga ni yuleyule......Kinyonga anabadiridha rangi
Ni yule yule lakini rangi tofautiRangi hubadilika machoni mwetu tu, Lakini kinyonga ni yuleyule......
Yule yule Pogba ndio anayekwamisha maendeleo ya mswahiliRangi hubadilika machoni mwetu tu, Lakini kinyonga ni yuleyule......
Anadharauliwa coz mswahili mvivu kila idara kasoro mapenzi tuMswahili sijui kwa nini anadharauliwa