supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wema ni hazina ya baadaeYupo mmoja kati yao, hana wema
Wema ni hazina ya baadaeYupo mmoja kati yao, hana wema
Baadaee waweza jikuta ni wewe Mwenyewe mwemaWema ni hazina ya baadae
Mwema wa matendo na tabiaBaadaee waweza jikuta ni wewe Mwenyewe mwema
Tabia uliyonayo inatokana na malezi bora ya wazaziMwema wa matendo na tabia
Wazazi baba na mamaTabia uliyonayo inatokana na malezi bora ya wazazi
Mama ni mama hata awejeWazazi baba na mama
Hata aweje inabidi ukubali mapungufu yake, akiwa mlemavu, mshirikina, mlevi au mgonjwaMama ni mama hata aweje
mgonjwa mtambukaHata aweje inabidi ukubali mapungufu yake, akiwa mlemavu, mshirikina, mlevi au mgonjwa
Mtambuka ni mmoja wa members humu JFmgonjwa mtambuka
Jf ina watu wengi ila id zao ndo nyingi zaidiMtambuka ni mmoja wa members humu JF
Zaidi ya id moja kuwa nayo humu unafisha nini au lengo ni niniJf ina watu wengi ila id zao ndo nyingi zaidi
Nini ndo nini?? kwani hata hiyo ID moja nayo si ni feki..!!Zaidi ya id moja kuwa nayo humu unafisha nini au lengo ni nini
Mtambuka ni mmoja wa members humu JF
Ni feki ID kwa malengo mazuri ya kuwa huru unapochangia hojaNini ndo nini?? kwani hata hiyo ID moja nayo si ni feki..!!
Hoja kama imesimama, haiitaji ID feki, kwani umuhimu wake utabaki vilevileNi feki ID kwa malengo mazuri ya kuwa huru unapochangia hoja
Vilevile nami nakubaliana nawe Asili ni asili haiwezi kuchakachuliwa....!!Hoja kama imesimama, haiitaji ID feki, kwani umuhimu wake utabaki vilevile
Kuchakachuliwa huko ndo kunakufanya unarudi kwenye uhalisia bila kujijuaVilevile nami nakubaliana nawe Asili ni asili haiwezi kuchakachuliwa....!!
Kujijua najitambua kuwa sijakosea nipo njia kuu sintopotea....Kuchakachuliwa huko ndo kunakufanya unarudi kwenye uhalisia bila kujijua