Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Sintapotea kwasababu CCM bado inaongoza 


Inaongoza mpaka sasa ni gari ya mashindano kutoka mkoa wa ArushaSintapotea kwasababu CCM bado inaongoza![]()
Arusha kwa machaliiInaongoza mpaka sasa ni gari ya mashindano kutoka mkoa wa Arusha
Machalii si alikuwa mbunge wa kile chama pendwaArusha kwa machalii
Machalii wapo fulu niajeArusha kwa machalii
Niaje jombaaMachalii wapo fulu niaje
Jombaa unauonaje mzukaNiaje jombaa
Mzuka unayeyuka kwa ugumu wa maisha na njaa kila umuonae kanywea....!!Jombaa unauonaje mzuka
Kanywea kwa sababu hataki kufikirisha akiliMzuka unayeyuka kwa ugumu wa maisha na njaa kila umuonae kanywea....!!
Akili ni utajiri tosha, changamoto zipo tuwe wabunifu tusikate tamaa na maishaKanywea kwa sababu hataki kufikirisha akili
Maisha yenyewe haya kila siku yanakuwa na mambo mapya, usipoumiza kichwa yatakuachaAkili ni utajiri tosha, changamoto zipo tuwe wabunifu tusikate tamaa na maisha
Yatakuacha bila kujali, Lakini yupo atakae kupozesha machungu.....Maisha yenyewe haya kila siku yanakuwa na mambo mapya, usipoumiza kichwa yatakuacha
Machungu hayawezi kupoa kama hamna suluishoYatakuacha bila kujali, Lakini yupo atakae kupozesha machungu.....
Suluhisho ni kuwa mpole na kukubali matokeoMachungu hayawezi kupoa kama hamna suluisho
Nguvu kazi ya taifa inapotea kwa magonjwa ya kuambukizaSuluhisho LA umaskini tz ni kujituma na kufanya kazi kwa nguvu
Nguvu itatoka wapi tenaa kama lishe ni duniSuluhisho LA umaskini tz ni kujituma na kufanya kazi kwa nguvu
Dhambi sote twaifanya kwa makosayetu wenyewe ila kutubia ndiyo shida....Kuambukiza kwa makusudi ni dhambi