Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 472
Yake alishaichukua saiv imebaki ya bwana juma pekeeUtajua Au utamwezi bado sielewi mdogo mdogo maana yake
Yake alishaichukua saiv imebaki ya bwana juma pekeeUtajua Au utamwezi bado sielewi mdogo mdogo maana yake
Pekee anasimama na kuongea kwa ujasiri bila uogaYake alishaichukua saiv imebaki ya bwana juma pekee
Pekee yao watoto walisafiri bila msindikizaji .....Yake alishaichukua saiv imebaki ya bwana juma pekee
Anawakilisha hata ndg. mtebetini aliye tupotea mwaka sasa... ila Supa mie namkubali !!Hali NI shwari ndugu ZZ Asante Kwa salam Mkuu supermarket anawakilisha
Anawakilisha pande hizi zikiwa tulivu na amaniHali NI shwari ndugu ZZ Asante Kwa salam Mkuu supermarket anawakilisha
Namkubali pia bwana supalermakert hanaga longolongoAnawakilisha hata ndg. mtebetini aliye tupotea mwaka sasa... ila Supa mie namkubali !!
Namkubali sana ZZ na pia members wote wanaowakilisha pande hizi za wa mwisho ndo mshindiAnawakilisha hata ndg. mtebetini aliye tupotea mwaka sasa... ila Supa mie namkubali !!
Longolongo sio ishu kwa mtu muungwana, vizuri kuishi na watu vizuri japo hatujuani tunaweza kukaa pamoja na kupiga storiNamkubali pia bwana supalermakert hanaga longolongo
Hhhhhh ushindi vigumu kuchukua pande hizi, labda tukupe uongoziMshindi mm coz kwa sasa mm ndo wa mwisho hhhhhhhh
Uongozi bora unalipa hadi kupewa tuzo na MO foundation ya zawadi ya Milioni tatu dollar!!!Hhhhhh ushindi vigumu kuchukua pande hizi, labda tukupe uongozi
Stori hasa baada ya muda wa kazi ni nzuri maana unapata wasaa wa kubadilishana mawazo na kujifunza vitu vipya hasa ubinadamuLongolongo sio ishu kwa mtu muungwana, vizuri kuishi na watu vizuri japo hatujuani tunaweza kukaa pamoja na kupiga stori
Dollar bado ipo juu, tunahitaji Mh. aishushe mpaka ifikie 1,500 kwa TshsUongozi bora unalipa hadi kupewa tuzo na MO foundation ya zawadi ya Milioni tatu dollar!!!
Uongozi???? Hawezi pewa uongozi kizembe hvyo hiki kipindi cha magufuli bwanaHhhhhh ushindi vigumu kuchukua pande hizi, labda tukupe uongozi
Bwana mkubwa anafaa kwenye kamati ya usimamiziUongozi???? Hawezi pewa uongozi kizembe hvyo hiki kipindi cha magufuli bwana
Usimamizi wa mali za ummaBwana mkubwa anafaa kwenye kamati ya usimamizi
Za Dangote zitapita zitakuja habari zingine. Nchi ya matukioumma umeshtushwa na habari za dangote
Matukio hapa ndio nyumbani kwake wakuuZa Dangote zitapita zitakuja habari zingine. Nchi ya matukio