supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wewe upo makini kuendesha chombo cha motoWapo wapi wewe?????
Wewe upo makini kuendesha chombo cha motoWapo wapi wewe?????
Moto unawaka bila kutoa moshi......Wewe upo makini kuendesha chombo cha moto
Moshi ipo mkoa wa KilimanjaroMoto unawaka bila kutoa moshi......
Kilimanjaro kwenye bwawa linaloitwa nyumba ya mungu kuna samaki wengi aina ya peregeMoshi ipo mkoa wa Kilimanjaro
Perege siwapendiKilimanjaro kwenye bwawa linaloitwa nyumba ya mungu kuna samaki wengi aina ya perege
Siwapendi samaki wa maji matamu, napenda samaki wa maji chumviPerege siwapendi
Maji chumvi labda kibua napo sio sana. Samaki nayempenda zaidi ni SatoSiwapendi samaki wa maji matamu, napenda samaki wa maji chumvi
Sato anapatikana ziwa victoriaMaji chumvi labda kibua napo sio sana. Samaki nayempenda zaidi ni Sato
Victoria c alikuaga malkia wa uingereza?Sato anapatikana ziwa victoria
Uingereza uliyotawala ulimwengu na kustaarabisha walimwengu.....Victoria c alikuaga malkia wa uingereza?
Walimwengu ni watu wa ajabu sana wanathamini pesa na mali kuliko utu na upendoUingereza uliyotawala ulimwengu na kustaarabisha walimwengu.....
Walimwengu bora walindondo tu walimwengu wanazinguaUingereza uliyotawala ulimwengu na kustaarabisha walimwengu.....
Wanazingua hawa ndg.zetu wa TZ, maana sibure unajikuta umepigwa buti.....Walimwengu bora walindondo tu walimwengu wanazingua
Buti kubwa wakati mguu ni mdogoWanazingua hawa ndg.zetu wa TZ, maana sibure unajikuta umepigwa buti.....
Buti kubwa wakati mguu ni mdogo
Sijui sijui hatimae utajuaMdogo mdogo ndio msemo wa kileo Hata maana yake sijui
Utajua utajua mwisho wake kusoma vitabuSijui sijui hatimae utajua
Utajua pale nilipo kusuduia kukutafuta ndg. mgogoone nakujulia hali...Sijui sijui hatimae utajua
Sijui sijui hatimae utajua
Vitabu vya humu JF havikawii kuchakaza.....Utajua utajua mwisho wake kusoma vitabu