supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mizani na vina vya kupandiana pandiana havihitajiki katika mzikimistari inabidi iwe na vina na mizani.
Mizani na vina vya kupandiana pandiana havihitajiki katika mzikimistari inabidi iwe na vina na mizani.
Mziki Wa bongo fleva unakuwa sasa hiviMizani na vina vya kupandiana pandiana havihitajiki katika mziki
Sasa hivi soko la bongomuvi limeshukaMziki Wa bongo fleva unakuwa sasa hivi
Limeshuka kwa sababu wasanii wamepoteza mantiki ya kuigizaSasa hivi soko la bongomuvi limeshuka
Kuigiza wanajua ila vifaa vya kisasa na uwekezaji wa makampuni makubwa kwenye soko na usambazaji hakunaLimeshuka kwa sababu wasanii wamepoteza mantiki ya kuigiza
Hakuna kampuni itakayothubutu kuwekeza katika tasnia hiyo inayozidi kumomonyoa maadili ya jamiiKuigiza wanajua ila vifaa vya kisasa na uwekezaji wa makampuni makubwa kwenye soko na usambazaji hakuna
manunuzi yapo ila ufujaji wa kipato kushnei.Sokoni pamepwaya siku hizi sababu watu hawana pesa za kufanya manunuzi
Kiswahili kinakuwa kwa mapana na hata nchi nyingi sasa watu wanaongea lugha yetuKushnei maana yake mwisho kwa kiswahili
Yetu macho juu ya ukuaji wa hiyo kiswahiliKiswahili kinakuwa kwa mapana na hata nchi nyingi sasa watu wanaongea lugha yetu
Yetu macho juu ya ukuaji wa hiyo kiswahili
Kuzaliwa Mbeya raha sana unaonekan mshamba kumbe unapiga pesa mf
. wachungaji na waimbaji wa gospel hata Mimi najivua kuzaliwa mbeya