Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Benki nazo zinashindwa kuendesha shughuli zake kwa kukwamishwa na wakopajiNdefu historia ya matajiri wengi wamefilisika baada ya kushindwa kurudisha mkopo benki
Benki nazo zinashindwa kuendesha shughuli zake kwa kukwamishwa na wakopajiNdefu historia ya matajiri wengi wamefilisika baada ya kushindwa kurudisha mkopo benki
Wakopaji wanaogopa kukopa sababu ya ukubwa wa ribaBenki nazo zinashindwa kuendesha shughuli zake kwa kukwamishwa na wakopaji
Riba nayo huongezeka zaidi unapochukua mkopo na kulipa kwa miaka mingiWakopaji wanaogopa kukopa sababu ya ukubwa wa riba
Anawaona kama anavyokuona na wewe apoRiba ni haramu mabenki mungu anawaona
Macho yangu hayaoni usikuJamaa mqenyewe c mgeni katika upeo wa macho yangu
Usiku ndo muda unaotumika na wabaya kama wezi, wachawi, ujambazi nk kufanya uhalifuMacho yangu hayaoni usiku
Uhalifu hufanywa na watu wasio na mwenendo mzuriUsiku ndo muda unaotumika na wabaya kama wezi, wachawi, ujambazi nk kufanya uhalifu
Mzuri ni neno linlotumiwa kumaanisha binti mwenye sura ya mvutoUhalifu hufanywa na watu wasio na mwenendo mzuri
Mvuto kitu gani ckuiz kinadanganya kioo,ndo maana vjana wa mjini wanakuambia uzuri wa nyumba choo,Kama demu hana 'chura' hapendwi anaweza akaomba poo.Mzuri ni neno linlotumiwa kumaanisha binti mwenye sura ya mvuto
Poo kidogo kwanza mkuu.Mvuto kitu gani ckuiz kinadanganya kioo,ndo maana vjana wa mjini wanakuambia uzuri wa nyumba choo,Kama demu hana 'chura' hapendwi anaweza akaomba poo.
Boy yupo imara anachana mistariPoo anaomba binti yeyote mwenye chura na aliyepigwa pasi ilimradi tu una mkwanja boy
mistari inabidi iwe na vina na mizani.Boy yupo imara anachana mistari