Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nini usichokielewa kkuhusu ulaini kama siyo chepesi....Ulaini unamaanisha nini
Nini usichokielewa kkuhusu ulaini kama siyo chepesi....Ulaini unamaanisha nini
Chepesi kukibeba kwenye bakuliNini usichokielewa kkuhusu ulaini kama siyo chepesi....
Bakuli la uji wa ukwaju lazima ninywe !!!Chepesi kukibeba kwenye bakuli
ninywe kila kinywaji isipokuwa kile tu kinachoharibu fikra.Bakuli la uji wa ukwaju lazima ninywe !!!
Fikra imeniijia nianze kulima mboga za hapo kwa hapo nifaidike kipindi hiki....ninywe kila kinywaji isipokuwa kile tu kinachoharibu fikra.
Kipindi hiki bora kuwa mjasiriamaliFikra imeniijia nianze kulima mboga za hapo kwa hapo nifaidike kipindi hiki....
Mjasiriamali bila kuchukuwa mkopo mzito benki ni kujitesa....Kipindi hiki bora kuwa mjasiriamali
Kujitesa ya nini bora uchukue tu mkopo heavyMjasiriamali bila kuchukuwa mkopo mzito benki ni kujitesa....
Mkopo heavy usichukue usijiingize kichwa kichwaKujitesa ya nini bora uchukue tu mkopo heavy
heavy tena heavy la kubebwa kwa kijiko !!Kujitesa ya nini bora uchukue tu mkopo heavy
Kichwa kichwa utalipa madeni hadi unazikwa....Mkopo heavy usichukue usijiingize kichwa kichwa
Unazikwa na sanda nyeusi kwa msisitizoKichwa kichwa utalipa madeni hadi unazikwa....
Msisitizo wengi waliokopa wanashindwa kurudisha madeniUnazikwa na sanda nyeusi kwa msisitizo
Madeni ni janga la kulikimbia kama ukoma.....Msisitizo wengi waliokopa wanashindwa kurudisha madeni
Ukoma ni ungonjwa hatariMadeni ni janga la kulikimbia kama ukoma.....
Ukoma ni ugonjwa hatari sana, unatisha mfano wa ebola.Madeni ni janga la kulikimbia kama ukoma.....
Hatari kusafiri bila kuwa na akiba.....Ukoma ni ungonjwa hatari
Ndefu historia ya matajiri wengi wamefilisika baada ya kushindwa kurudisha mkopo benkiHatari iko pale unakopa then mkopo unanywea pombe na akina mwajuma ndala ndefu
Akiba iliyobaki ni kiasi kidogo sana kuanza nacho kama mtajiHatari kusafiri bila kuwa na akiba.....