Viwanda vitajengwa na waTZ waliyokuwa waaminifu na wenye kutenda haki......Namna pekee ni kuanzisha viwanda
Kutenda haki ingeanza kwa kiwanda cha dangoteViwanda vitajengwa na waTZ waliyokuwa waaminifu na wenye kutenda haki......
Dangote anatikiswa kidogo, ila mambo yatanyooka na kuenda shwari....Kutenda haki ingeanza kwa kiwanda cha dangote
Shwari kabisa mwanangu, kitambo umeadimika, vipi lakini pande hizo wanasemaje ndugu na jamaaDangote anatikiswa kidogo, ila mambo yatanyooka na kuenda shwari....
Jamaa wapo Biyeen!! Wanapambana na masiha yaliyo tabiriwa na Raisa Mtarajiwa...TRUMPShwari kabisa mwanangu, kitambo umeadimika, vipi lakini pande hizo wanasemaje ndugu na jamaa
Nani asiye mjuwa Rais mpya wa USA atakae wakwaza watu wa ulimwengu wa tatu!!Trump ni nani
ulimwengu wa tatu ni huu ambao viongozi wengi hawawajali wananchi zaidi ya maslahi yao na yao na jamaa zao.Nani asiye mjuwa Rais mpya wa USA atakae wakwaza watu wa ulimwengu wa tatu!!
Jamaa zao ni haki zao na wananchi nao wana haki ya kugawana neema ya rasilimali......ulimwengu wa tatu ni huu ambao viongozi wengi hawawajali wananchi zaidi ya maslahi yao na yao na jamaa zao.
rasilimali zinaliwa na wachache wengi wakiteseka kwa kukosa hata huduma muhimu kama faida ya maliasili.Jamaa zao ni haki zao na wananchi nao wana haki ya kugawana neema ya rasilimali......
Maliasili itunzwe kwa vizazi vijayo bila tamaa na ubadhirifu !!rasilimali zinaliwa na wachache wengi wakiteseka kwa kukosa hata huduma muhimu kama faida ya maliasili.
ubadhirifu ufanye wewe kununua smart phone wakifanya wengine "kinyaa"Maliasili itunzwe kwa vizazi vijayo bila tamaa na ubadhirifu !!
Kinyaa kilichpo mtaani ni yale maji taka yaliyotelekezwa yakitiririka kote kama bwawa la dampo!!ubadhirifu ufanye wewe kununua smart phone wakifanya wengine "kinyaa"
Limejaa maji tenki litapasuka.....Dampo letu limejaa
Magumu yalikuwepo kabla yake, sikumbuki kama palikuwa na ulaini...Mkulu anatufanya maisha ya mtaa yawe magumu