BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,366
Mguu sio mkonoMkono sio mguu
Mguu sio mkonoMkono sio mguu
Mguu wa kulia ndiyo uliofunga goli la ushindi.....Mkono sio mguu
Mkono mtupu haurambi asali.....Mguu sio mkono
Bombadia imetunyanyua juu hadhi yetu ktk anga za kilimanjaro......Asali utapata wapi enzi hii ya uchumi bombadia
Kilimanjaro mlima mrefu zaid barani Africa na wa tatu dunianiBombadia imetunyanyua juu hadhi yetu ktk anga za kilimanjaro......
Duniani kuna kuzidiana kimaarifa....Kilimanjaro mlima mrefu zaid barani Africa na wa tatu duniani
Kimaarifa nani zaidiDuniani kuna kuzidiana kimaarifa....
Zaidi inapo nyesha mvua ardhi hupata rutuba......Kimaarifa nani zaidi
Rutuba ya ardhi kwa ustawi wa mazao ya vyakula na biasharaZaidi inapo nyesha mvua ardhi hupata rutuba......
Biashara ndiyo mpango wakujinasua kiuchumi........Rutuba ya ardhi kwa ustawi wa mazao ya vyakula na biashara
Kiuchumi tuendeleze na kuongeza viwandaBiashara ndiyo mpango wakujinasua kiuchumi........
Nyuma ya pazia kuna mikataba mibovu !!!Kiuchumi tz iko nyuma
Uchumi wa Tanzania upo matataniBiashara ndiyo mpango wakujinasua kiuchumi........
Viwanda tumeshaanza kufunga badala ya kufunguwa.....Kiuchumi tuendeleze na kuongeza viwanda
Matatani kama hulipi kodi.....Uchumi wa Tanzania upo matatani
Matumizi lazima ya kidhiwe hakuna namna.....Kodi zenyewe tukilipa zinabadilishiwa matumizi...