Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Chui ni mnyama mkaliKasi kama mbio za dubu au chui
Chui ni mnyama mkaliKasi kama mbio za dubu au chui
Simba sikuhizi ni majina na sifa za binadamuMkali kupita wote ni simba
Ndugu kufaana na sio kufananaBinadamu sote ni ndugu
Tabia ikiwa nzuri kwa wazazi, hata mtoto atakuwa na tabia njemakufanana kwa sura si tabia
Tabia njema huja pale unapozingatia mafundisho na kuyatimizaTabia ikiwa nzuri kwa wazazi, hata mtoto atakuwa na tabia njema
Timiza wajibu wako katika imani yako kwa kumtegemea na kumuomba Mungu msikitini na kanisaniTabia njema huja pale unapozingatia mafundisho na kuyatimiza
Jumapili tu ndo siku maalumu kwa ajili ya ibadaKanisani huwa wanaenda jumapili tu
Ibada siku ya ijumaa waumini wanatakiwa kuwahi mapemaJumapili tu ndo siku maalumu kwa ajili ya ibada
Ahahahaha naona uko nje mada mkuu tafadhari try again 404 not foundMtaani kwetu Limeingia Nyambizi... Nyimbo ya Muumin... Kitambo Ahahahahahaha.
Not found in the data mpaka kwenye mafaili ya zamaniAhahahaha naona uko nje mada mkuu tafadhari try again 404 not found
Kuwahi mapema ibadani kila mtu na siku anayoamini kwa imani yake iwe Ijumaa kwa waisilamu,Jumamosi kwa wasabato na Jumapili.Ibada siku ya ijumaa waumini wanatakiwa kuwahi mapema
Sana sana hukuipangilia siku hii hadi imekuacha mkono.....Jumapili hii iko doro sana
Mkono sio mguuSana sana hukuipangilia siku hii hadi imekuacha mkono.....