gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mataa ya dar hayafanyi badala yake askar wanateseka huku wanasababisha foleni kubwa jijini dar haswa siku za kaziumeniacha kwenye mataa
Mataa ya dar hayafanyi badala yake askar wanateseka huku wanasababisha foleni kubwa jijini dar haswa siku za kaziumeniacha kwenye mataa
Kinywani nimemeza mbu wakati naongeaKazi ni kazi mradi mkono uende kinywani
Njaa ikiwa kali unaweza kupata vidonda ya tumboNaongea nikiwa sina njaa
Pilipili inaweza kukuletea madhara kwa afyaTumbo langu halipendi pilipili
Pesa haiwezi kununua kila kituAfya ni bora kuliko pesa
Pesa haiwezi kununua uhai unapokuwa umeshapoteza maishaKitu gani hicho ambacho hakiwezi kununuliwa kwa pesa?
Mafupi kwa kuwa hujatembela juu ya mgono wa ardhi hii kujionea maajabu ya Dunia...Maisha yenyewe mafupi!
Hauko mbali kwa kuwa maasi yameongezekaDunia ya mwisho hii. Mwisho wake hauko mbali!
Yameongezeka sababu ya kukosa maadili na kuacha mafundishoHauko mbali kwa kuwa maasi yameongezeka
Mafundisho ya dini hisaidia jamii kuwa na maadiliYameongezeka sababu ya kukosa maadili na kuacha mafundisho
Maadili yameanguka na kuporomoka kwa kasiMafundisho ya dini hisaidia jamii kuwa na maadili
Kasi kama mbio za dubu au chuiMaadili yameanguka na kuporomoka kwa kasi