supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Ijumaa iliyopita nilichelewa msikitiniJingine lete "invitation card" kadi inifikie ofisini kwangu kesho kabla ya Swala ya ijumaa !!!
Ijumaa iliyopita nilichelewa msikitiniJingine lete "invitation card" kadi inifikie ofisini kwangu kesho kabla ya Swala ya ijumaa !!!
Kufikia saa sita na nusu nitajitahidi niwahi msikitiniSwala ya Ijumaa kabla hujaiswali itakuwa ishakufikia
Msikitini unaendaga kweli wee mchagaKufikia saa sita na nusu nitajitahidi niwahi msikitini
Mchaga anapenda sana milaMsikitini unaendaga kweli wee mchaga
CCM ni chama kinachotawala Tanzaniamila ya kutoa rushwa ipo sana CCM
CCM ni chama tawalamila ya kutoa rushwa ipo sana CCM
Chama tawala kipo madarakani miaka mingi tangu enzi za MwalimuCCM ni chama tawala
Namkumbuka sana ili upate maksi 50 inabidi upeleke kidungu cha maji, fagio na kulima mboga za majaniMwalimu wangu wa stadi za kazi namkumbuka sana
Matamu sana ukila na ugali na samaki wa kukaangaMajani matamu sana
Mjue msanii mwenye mafanikio zaidi Africa kupitia web ya millard ayoMshindi ni Mimi mjue
Mjue msanii mwenye mafanikio zaidi Africa kupitia web ya millard ayo
Timberlake ndo nini, mie umeniachaAyo technology mnaikumbuka hiyo ngoma 50cent ft timberlake?
umeniacha kwenye mataaTimberlake ndo nini, mie umeniacha