Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Nini alimaanisha aliposema wengi wapeCcm inamaanisha nini
Nini alimaanisha aliposema wengi wapeCcm inamaanisha nini
Wape wenzio Salaam kwanza, acha kukaushia.....!!Nini alimaanisha aliposema wengi wape
Wengi waliyohudhuria maulidi waliondoka bila swadaka....Wape wengi
Swadaka yenyewe mlituandalia ninWengi waliyohudhuria maulidi waliondoka bila swadaka....
Nini kilichokupeleka kituoni kuripoti.....Kukaushia ndo nini
Mauwaji yaliyotokea Uganda yamenihuzunisha hadi kupigwa na bumbuwazi......Kuripoti taarifa za mauwaji
Majibu yangu nayasubiria nawe wanitesa kutonijibu !!!Bumbuwazi ni kitendo cha kushangaza ambacho huwa hakina majibu
Kutokunijibu ni ishara mubashara ya Kiburi.Majibu yangu nayasubiria nawe wanitesa kutonijibu !!!
Kiburi chake kilimponza akaishia kulialia....Kutokunijibu ni ishara mubashara ya Kiburi.
Hiyo ndiyo taadhima ya kukaribisha mgeni nyumbani.....Kulialia unapotafuta haki yako ni kujidhurumu mwenyewe haki hiyo
Nyumbani kwetu kuna TvHiyo ndiyo taadhima ya kukaribisha mgeni nyumbani.....
Kichakani ndipo kuna ladha na utaamu wa maisha asilia.....Nyumbani ni nyumbani hata kuwe kichakani
Asilia yetu sote sie ni udongoKicha
Kichakani ndipo kuna ladha na utaamu wa maisha asilia.....