salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Thamani yake ni kubwaMkia wa kondoo ndiyo wenye thamani.....
Thamani yake ni kubwaMkia wa kondoo ndiyo wenye thamani.....
Kubwa yenye kiwango hupata bei nzuri sokoni......Thamani yake ni kubwa
Sokoni nilikutana na mrembo wa kichagaKubwa yenye kiwango hupata bei nzuri sokoni......
Kichaga, kichaka au kichuguu vyote vinaashiria mkusanyiko uloparaganyika...!!!Sokoni nilikutana na mrembo wa kichaga
Uloparanganyika ni ndege ya Brazil nasikia imeanguka ikiwa na wachezaji wa mpira...je hii ni kweli?Kichaga, kichaka au kichuguu vyote vinaashiria mkusanyiko uloparaganyika...!!!
Kweli pilipili usiyoila yakuwashia nini, acha maisha ya songe mbele....Uloparanganyika ni ndege ya Brazil nasikia imeanguka ikiwa na wachezaji wa mpira...je hii ni kweli?
Mbele kwa mbele kama wimbo wa CCMKweli pilipili usiyoila yakuwashia nini, acha maisha ya songe mbele....
CCM mpya ya MaguMbele kwa mbele kama wimbo wa CCM
Magu ni wilaya moja muhimu huko kanda ya ziwa......CCM mpya ya Magu
Ziwa la Tanganyika lina dagaa wengiMagu ni wilaya moja muhimu huko kanda ya ziwa......
Dagaa wengi but m napenda migebukaZiwa la Tanganyika lina dagaa wengi
Kigoma mwisho wa reliMigebuka ipo kigoma
Ilikufa kama kuku mwenye kideriReli ya tanga ilikufa
Kideri kiliwapata UKAWA walivyoanguka kwenye uchaguziIlikufa kama kuku mwenye kideri
Uchaguzi wenye matokeo chanya kwenye yetu, maendeleo mbele kwa mbele kama ccmKideri kiliwapata UKAWA walivyoanguka kwenye uchaguzi
nini unataka kujua kuhusu kuku wa kienyeji?Ccm inamaanisha nini