supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Umesahau ndio ofisi ya mkuu wa nchi ambae ndio raisUfisadi na rushwa vipo IKULU... Wale wanyama waliuzwa wakiwa Ikulu, umesahau?
Umesahau ndio ofisi ya mkuu wa nchi ambae ndio raisUfisadi na rushwa vipo IKULU... Wale wanyama waliuzwa wakiwa Ikulu, umesahau?
Raisi kwamba anakaa ikulu na ofisi yake ipo ukulu sijasahau, ila huko huko ndo wale wanyama waliuzwaUmesahau ndio ofisi ya mkuu wa nchi ambae ndio rais
Hatari na hatujui hatima ya nchi hiiRaisi wa awamu hii ni hatari
Sana sana wananchi ndo twaumiaHii nchi ni ya ajabu sana
Ndo nini kulala mchanaMkwich ndo nin
Mfupi sababu ya pirikapirika nyingi bila mapumzikoMchana siku hizi umekuwa mfupi
Mapumziko ni muhimuMfupi sababu ya pirikapirika nyingi bila mapumziko
Muhimu kunywa maji mengi japo lita3 kwa sikuMapumziko ni muhimu
Siku zinaenda jamani mwezi wa 11 ushaisha tayariMuhimu kunywa maji mengi japo lita3 kwa siku
Sas ni uvurugaji wa kiswahiliTayari imeisha watu waabud sas
Sasa ni maandalizi ya ChristmasTayari imeisha watu waabud sas
Christmass imekaribia na likizoSasa ni maandalizi ya Christmas