Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Nimewamisi.... unawamisije walafi..?? utakuwa mlafi mwenzaoViongoz Wenyewe walafi nimewamisi
Nimewamisi.... unawamisije walafi..?? utakuwa mlafi mwenzaoViongoz Wenyewe walafi nimewamisi
Wamelala muda wa kazi hawaogopi kutumbuliwa jipuUtawaona saa ngapi wenyewe wamelala
Usingizi unapata, sema unapata wa mang'amung'amu.Jipu likiiva huwezi pata usingizi
Mang'amung'amu sababu ya maumivuUsingizi unapata, sema unapata wa mang'amung'amu.
Pesa kila kitu weweee.... Umwa hapa ulazwe halafu uje usapraiziwe na 100M kakupa Bakhera.. UNTAPONA GHAFRAMaumivu ya moyo yanazidi furaha ya pesa
Pesa sio kila kitu, kupata na kukosa yote ni majaaliwaMaumivu ya moyo yanazidi furaha ya pesa
Ghafla utazimia, ni zaidi ya zali la mentali mkuuPesa kila kitu weweee.... Umwa hapa ulazwe halafu uje usapraiziwe na 100M kakupa Bakhera.. UNTAPONA GHAFRA
Hasara roho, pesa makaratasiMajaliwa kila kitu subira haina hasara
Makaratasi yenye thamani lakini... misemo mingine maneno tu hata kwenye kanga yapoHasara roho, pesa makaratasi
Yapo mpaka kwenye magazeti yamechorwa katuniMakaratasi yenye thamani lakini... misemo mingine maneno tu hata kwenye kanga yapo
Katuni za masoud kipanya ni nzuri sanaYapo mpaka kwenye magazeti yamechorwa katuni
Nzuri sana zinafikisha ujumbeKatuni za masoud kipanya ni nzuri sana
Ujumbe usiopendwa na unaopendwa. Usipopendwa utasikia mchora katuni kaitwa ikuluNzuri sana zinafikisha ujumbe
Ikulu ni sehemu takatifu, hakuna ufisadi wa rushwaUjumbe usiopendwa na unaopendwa. Usipopendwa utasikia mchora katuni kaitwa ikulu
Ufisadi na rushwa vipo IKULU... Wale wanyama waliuzwa wakiwa Ikulu, umesahau?Ikulu ni sehemu takatifu, hakuna ufisadi wa rushwa