karuhanga
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 219
- 79
condom tunagawiwa bureTanzania siku zinavokwenda tusio na ajira mpaka tunaomba pesa ya condom kwenda kumaliza
condom tunagawiwa bureTanzania siku zinavokwenda tusio na ajira mpaka tunaomba pesa ya condom kwenda kumaliza
aibu ikizidi mwisho wake ni kulala njaaMwisho wa ubaya aibu.
Njaa inauma nipeleke kwa babaa !! Utotoni tuliwahi kuimba hivyoaibu ikizidi mwisho wake ni kulala njaa
Havimtoshi kwa sababu ana mguu mdogoViatu vyako vikubwa havimtoshi
Mdogo pia kwa umriHavimtoshi kwa sababu ana mguu mdogo
Umri unaenda tuombe mwisho mwemaMdogo pia kwa umri
Mwisho mwema ni kuondoka hapa duniani ukiwa umefanya matendo mazuri yanayompendeza MunguUmri unaenda tuombe mwisho mwema
Nyote ni Wana JFMwema usiku kwa nyote
Mungu anatupenda sisi waja wakeMwisho mwema ni kuondoka hapa duniani ukiwa umefanya matendo mazuri yanayompendeza Mungu
Waume wapo wengi wanatafuta wachumba mtaaniWake kwa waume
Mtaani wachumba wamejaa,kumbuka wanawake ni wengi kuliko wanaume,inabidi tuongeze ili tuwasitiriWaume wapo wengi wanatafuta wachumba mtaani
Nyambizi nakupenda japo mkubwa, mateso ninayopata usiku ni makubwaa, naomba unielewe wangu mchumbaa, kipindi hicho bado kijana mimiMtaan kwetu kumeingia nyambizi
Tuwasitiri na kuwapenda kujenga familia boraMtaani wachumba wamejaa,kumbuka wanawake ni wengi kuliko wanaume,inabidi tuongeze ili tuwasitiri
Kabisa mkuu kipindi hiko miaka ya 80 sijuiMim nilikuwa mzee kabisa
Sijui kwann Ukhuty unajizeeshaKabisa mkuu kipindi hiko miaka ya 80 sijui
Uzee una tabu