atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Handsome boy kama huna kipato ni bureeeNi nini kama sio handsome boy
Handsome boy kama huna kipato ni bureeeNi nini kama sio handsome boy
Bure kwa muda tu, changamoto ni muda mfupi, baadae upepo unachange na mambo yote bombaHandsome boy kama huna kipato ni bureee
Bomba la majiBure kwa muda tu, changamoto ni muda mfupi, baadae upepo unachange na mambo yote bomba
Maji hufuata mkondo wake unapoelekea huko hukoBomba la maji
Kabisa mwana umeongea kitu mukide mshkajiHuko uliko siko kbsa
Mshkaji wangu, maji si lazima yafuate mkondo, wakati mwingine PUMP huusika kuyapeleka kusiko na mkondoKabisa mwana umeongea kitu mukide mshkaji
Mkondo wa bahari ni mkubwa mkuu unaangusha mpaka meliMshkaji wangu, maji si lazima yafuate mkondo, wakati mwingine PUMP huusika kuyapeleka kusiko na mkondo
Meli gani? na huyo dereva wa meli si aangalie meli yake asiipite kwenye mkondo mkubwa..!!Mkondo wa bahari ni mkubwa mkuu unaangusha mpaka meli
Bongo hapa kila kitu ni dilimkubwa fela ndo tapeli wa muziki bongo
Dili la unga mwaka huu limepasi,mapene kwa wingiBongo hapa kila kitu ni dili
Wingi wa pesa sio kukua kwa uchumiDili la unga mwaka huu limepasi,mapene kwa wingi
Uchumi unapokuwa, uzalishaji unakuwa, and hence, pesa zinaongezeka.. Kwa hiyo uwingi wa pesa unaweza ukauona kwenye kukua kwa uchumiWingi wa pesa sio kukua kwa uchumi
Uchumi wa mtu mmoja mmoja upo pale paleUchumi unapokuwa, uzalishaji unakuwa, and hence, pesa zinaongezeka.. Kwa hiyo uwingi wa pesa unaweza ukauona kwenye kukua kwa uchumi
Kuzorota kunasababishwa na wananchi pamoja na viongoziUchumi wa taifa letu unazidi kuzorota
Wamisi hivyo hivyo utakapokuja utawaonaViongoz Wenyewe walafi nimewamisi