supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Imekuwa fupi mpaka sijapumzika vizuriLikizo yangu imekuwa fupi
Imekuwa fupi mpaka sijapumzika vizuriLikizo yangu imekuwa fupi
Omba isikikute, kama kufumaniwa na demu wa mcheza karateVizuri tu kuona omba isikukute
Mcheza karate anaweza kukupiga ukalia kama mtoto mdogoOmba isikikute, kama kufumaniwa na demu wa mcheza karate
Sasa mdogo wako ana umri gani ametimiza ndani ya huu mwakaMdogo wangu wa mwisho amekuwa sas
Mnofu wa nyama ya swala tuliufaidi tulipokuwa mbuganiMwaka huu umekuwa mfupi mnoo
Mbona haviendani pochi na viatu vyakoMbugani ulifaidi nini mnoo na mnofu mbona haviendani
Viatu vyako vikubwa havimtoshiMbona haviendani pochi na viatu vyako
Huu mwaka tutaona mengi, tukianza na kwa bwa trumpSasa mdogo wako ana umri gani ametimiza ndani ya huu mwaka
Trump akaze buti na abane mpaka tusipumue pumziHuu mwaka tutaona mengi, tukianza na kwa bwa trump
Pumzi ikikata kuna nini tena fellaTrump akaze buti na abane mpaka tusipumue pumzi
Fella amesaidia sana kwenye mziki wetu wa bongoflevaPumzi ikikata kuna nini tena fella
Fella amesaidia sana kwenye mziki wetu wa bongofleva
Hii bongofleva imesaidiwa sana na mkubwa fellaBongofleva hihi hiii
Nini maana ya pilauFella ndo nani
Pilau la nyama ya mbuzi ni tamuNini maana ya pilau