atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Afya yangu iko poa... Nimeamka salamaJua limechomoza kumekekucha salama tunamshukuru Mungu, vipi na wewe ni mzima wa afya
Afya yangu iko poa... Nimeamka salamaJua limechomoza kumekekucha salama tunamshukuru Mungu, vipi na wewe ni mzima wa afya
Salama tunamshukuru Mungu, vipi familia na wote nyumbaniAfya yangu iko poa... Nimeamka salama
Nyumbani salama tunashukuru tumeamka wazimaSalama tunamshukuru Mungu, vipi familia na wote nyumbani
Wazima wote tunamshukuru MunguNyumbani salama tunashukuru tumeamka wazima
Up the Sky is blueMungu ndo wakushukuliwa hakuna mwingine s.market big up
Blue colar ni watanashati ktk soko la ajira......Up the Sky is blue
Blue 3 kundi zuri la mziki kutoka ugandaUp the Sky is blue
Uganda ni sehemu ya Afrika MasharikiBlue 3 kundi zuri la mziki kutoka uganda
Ajira zipo kwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyeweBlue colar ni watanashati ktk soko la ajira......
Mashariki ya kati kuna fedha nyingi Lakini maisha yake ni ya utata.....Uganda ni sehemu ya Afrika Mashariki
Afrika mashariki tupo nyuma kiuchumiUganda ni sehemu ya Afrika Mashariki
Mwenyewe ukijiajiri unakuwa so commitedAjira zipo kwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
Commited ktk mali yako ni bora kulikoni.....Mwenyewe ukijiajiri unakuwa so commited
Kulikoni kuajiriwaCommited ktk mali yako ni bora kulikoni.....
Utata uliopo ni kwenye raia kumiliki silahaMashariki ya kati kuna fedha nyingi Lakini maisha yake ni ya utata.....
Kuajiriwa vijana wengi ndo wanaona ni bora kuliko kujiajiri wanakuwa waogaKulikoni kuajiriwa
Waoga sababu ya soko na kukosa uzoefu hivyo wanaweza kushindwa kurudisha mkopoKuajiriwa vijana wengi ndo wanaona ni bora kuliko kujiajiri wanakuwa waoga
Mkopo sasa hivi baadhi ya mabenki wameongeza riba hadi 22%. Huu mwaka tutaisoma nambaWaoga sababu ya soko na kukosa uzoefu hivyo wanaweza kushindwa kurudisha mkopo
Namba zipo tunahitaji uvumilivuMkopo sasa hivi baadhi ya mabenki wameongeza riba hadi 22%. Huu mwaka tutaisoma namba