T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,092
Zako tamu sanaUkishakufa kinachoangaliwa ni amali zako
Zako tamu sanaUkishakufa kinachoangaliwa ni amali zako
Mali zako zipi?Ukishakufa kinachoangaliwa ni amali zako
Sana ushazionja?Zako tamu sana
Onja msisimko na coca colaSana ushazionja?
Ajabu sana.. Kivipi? Kwani huoni kuwa wao washaizowea hali hiyo?Lakini cha ajabu hapa makambako nawaona watoto wadogo wakiwa vifuwa wazi ajabu sana..
Mbaya kutukana matusi na kutumia lafudhi za kashfa......Hiyo hali ni mbaya
Kashfa Tanzania zipo nyingi, tena za kupiga hela ndefu. embu kumbuka RCHMON, Meremete na EPAMbaya kutukana matusi na kutumia lafudhi za kashfa......
EPA ni mradi wa vigogo kukatiana minofu......Kashfa Tanzania zipo nyingi, tena za kupiga hela ndefu. embu kumbuka RCHMON, Meremete na EPA
Minofu ya nyama ya ng'ombeEPA ni mradi wa vigogo kukatiana minofu......
Ng'ombe wa maziwa ukiwafuga watakupatia faida....Minofu ya nyama ya ng'ombe
Ng'ombe wa kisasa au wa kizungu wasio na nundu?Minofu ya nyama ya ng'ombe
Faida ya kuuza nyama kwenye mabucha piaNg'ombe wa maziwa ukiwafuga watakupatia faida....
Pia nashangaa huu uzi nimeuona tokea nina miaka 10years leo nina 40yearsFaida ya kuuza nyama kwenye mabucha pia
Pia unaijua? Huwa inachapwa na kuzunguka, haitakiwi isimame...Faida ya kuuza nyama kwenye mabucha pia
40 years ni umri mwafaka kutuliaPia nashangaa huu uzi nimeuona tokea nina miaka 10years leo nina 40years