Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Mawe ya machimboni au ?Ngao yangu nikipigwa natumia mawe
Mawe ya machimboni au ?Ngao yangu nikipigwa natumia mawe
Maumivu yakizidi muone daktariPesa niliyokopesha sijalipwa hadi nasikia maumivu.....
Daktari yule kila nikienda ananiandikia sindanoMaumivu yakizidi muone daktari
Sindano ichomwe mkononi naikubali....Daktari yule kila nikienda ananiandikia sindano
Sindano ya macho?Daktari yule kila nikienda ananiandikia sindano
Au? Ipi? Nani? Gani? Yupi? Kivipi?..wa mwisho ndio msindi unatakiwa kutunga sentensi sio kuuliza uliza maswaliMawe ya machimboni au ?
Macho? Pua? Kwa wapi? Kivipi? Usiulize maswali mkuu unatakiwa kutunga sentensiSindano ya macho?
Kiongozwe kwa dhati nadhan ndio furaha yako!Kitu chochote lazima kiongozwe
Yajibiwe kama mtuhumiwa kituo cha polisiMaswali yote yajibiwe
Yako na yangu pia hilo uzingatieKiongozwe kwa dhati nadhan ndio furaha yako!
Uzingatie upendo kati yetu sisi ni nduguYako na yangu pia hilo uzingatie
Nyengine sentensi ndefu, nyengine fupiSentesi moja huanzisha nyengine
Sentensi haiwezi kuwa katika swali?Macho? Pua? Kwa wapi? Kivipi? Usiulize maswali mkuu unatakiwa kutunga sentensi
Swali zuri sana Mheshimiwa mkuuSentensi haiwezi kuwa katika swali?
Kabla hujaswaliwa, swali kwanza mwenyewe, maana kuswaliwa ni ukishakufaSwali kabla hujaswaliwa
Hujaswaliwa Kabla hujafa na hujafa ujaumbika!Swali kabla hujaswaliwa