Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Kutulia ndio dili kwa sasa40 years ni umri mwafaka kutulia
Kutulia ndio dili kwa sasa40 years ni umri mwafaka kutulia
Sasa ndiyo wakati wa mabadiliko bila kusubiri....Kutulia ndio dili kwa sasa
Kusubiri tumechoka kila sikuSasa ndiyo wakati wa mabadiliko bila kusubiri....
Siku zijazo zitaleta kheri maana tufuate usemi huu "Leo ni bora kuliko jana, na kesho itakuwa kora kuliko leo, na kadhalika....."Kusubiri tumechoka kila siku
Kadhalika na kesho kutwa mapemaSiku zijazo zitaleta kheri maana tufuate usemi huu "Leo ni bora kuliko jana, na kesho itakuwa kora kuliko leo, na kadhalika....."
Mapema uwahi kazini keshoKadhalika na kesho kutwa mapema
Kesho huenda hakutakuwa na mvuaMapema uwahi kazini kesho
Mvua ni neema amabyo wakulima hunufaika nayo ktk kilimo......Kesho huenda hakutakuwa na mvua
Kilimo kinalipa siku hiziMvua ni neema amabyo wakulima hunufaika nayo ktk kilimo......
Zimeoza zile za juu tuu, ila za kati na ndani ni mbivu.....Hizi ndizi kumbe zimeoza
Zimeoza ndiyo, ylivyoziacha wiki nzima ulitegemea nini?Hizi ndizi kumbe zimeoza
Zimeharibika kwa kunyeshewa mvua au kubabuka kwa jua....Mbivu zangu zimeharibika
Zimeharibika kwa kunyeshewa mvua au kubabuka kwa jua....
Dar es Salaam ni alwatan wako, na Supamaketi na bi Ukhuty La Aziza...Jua leo ni adimu hapa Dar ul Salam
Dar es Salaam ni alwatan wako, na Supamaketi na bi Ukhuty La Aziza...
Wanalisongesha gurudumu la maishaAziza na Aziz, Supermarket na Bi Ukhuty wapo wanalisongesha
Wanalisongesha gurudumu la maisha
Hali zote tunaridhika na tunachopataMaisha yanaendelea Alhamdulillah. Tunashukuru kwa hali zote