Ndugu ni yule akufaae kwa dhikiUhuru sana wa kuongea chochote usikute unaongea na ndugu
Wameongezeka mpaka inafurahishaJF siku hizi ina villaza wengi.. ila na wene akili pia wameongeza...
Sana kivipi? Usisahahu na wewe ni ndugu piaNdugu ni watu wa ajabu sana
Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweliNdugu ni yule akufaae kwa dhiki
Kweli humuweka mtu huruAkufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli
Ajabu sana kukuona unafanikiwa na kupendeza machoni kwa watuNdugu ni watu wa ajabu sana
Sana Sana ukute hamwelewani huyu anasema hivi na yule anasema vile!Ndugu ni watu wa ajabu sana
Vile viazi ulikulaSana Sana ukute hamwelewani huyu anasema hivi na yule anasema vile!
Mtu huru anaishi kwa furaha na amaniKweli humuweka mtu huru
Furaha na amani bongo?Mtu huru anaishi kwa furaha na amani
Vilevile anaweza kukuroga kwa mgangaSana Sana ukute hamwelewani huyu anasema hivi na yule anasema vile!
Bongo ipo, kuwa na furaha sio lazima uwe na pesaFuraha na amani bongo?
Ngao yangu nikipigwa natumia maweAmani ndio ngao yangu
Pesa si kila kituBongo ipo, kuwa na furaha sio lazima uwe na pesa
Pesa niliyokopesha sijalipwa hadi nasikia maumivu.....Bongo ipo, kuwa na furaha sio lazima uwe na pesa