Lawama ni kuzipokea sababu ni ndugu zako hakuna jinsiNdugu lawama
Tunachopata ni kutokana na juhudi zetuHali zote tunaridhika na tunachopata
Ndugu yangu ziana karibu sana Jf hasa katika uzi huu wa wamwisho ndo mshindiTunachokipata tunagawana na ndugu
Juhudi zetu ndo mafanikio yetuTunachopata ni kutokana na juhudi zetu
Mimi nahisi sitakosa kumi boraMshindi mimi
Humu unakaribishwa muda wowote karibu sana mkuuYetu kweli ndugu mimi ni mgeni humu
Ziana rafiki yetu mpyaHumu wageni pia wanakaribishwa karibu ziana
Kweli vile unahitaji chai na chapati, maji au sodaMpya kweli
Mkuu ni neno linalotumika humu Jf sababu kuna wakati huwezi kumjua mtu ni mwanaume au mwanamkeMkuu ni dada wa mama kwetu tunaita mkuu
Muadilifu wa mazungumzo, comment na ushauriKweli ziana uwe muadilifu