Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Yani kikwetu ni NANISana yani
Yani kikwetu ni NANISana yani
Yani umenichekeshaSana yani
Maji safi na salama ni Yale yalochemshwa na kuchujwaVitamu sana kama vibibi na chapati za maji
Umenichekesha kwa visivyochekeshaYani umenichekesha
Umenichekesha mnooYani umenichekesha
Kuchunjwa kwenye mikopo ya elimu ya juu siku hizi ni kwa shule uliyotoka.. WA PRIVATE IMEKULA KWENUMaji safi na salama ni Yale yalochemshwa na kuchujwa
Nani Kama mamaYani kikwetu ni NANI
Mama, hatimaye umeweza ku-quoteNani Kama mama
My quote wew ulizani sijui au kwakua hujaona nikifanya hizo dharau sasaMama, hatimaye umeweza ku-quote
Mama yako vipi hali yake kiafya ni mzimaNani Kama mama
Afya ndio utajiri katika hii duniaMzima wa afya
Afya sawa, kifedha je?Mzima wa afya
Ku-quote mbona anajua mkuuMama, hatimaye umeweza ku-quote
Sasa kama vipi piganeni halafu mimi nitakuwa refaMy quote wew ulizani sijui au kwakua hujaona nikifanya hizo dharau sasa
Mkuu neno linapendwa sana humu JFKu-quote mbona anajua mkuu
JF atug sikuoni humu kwenye huu uzi unaenda wapi siku hiziMkuu neno linapendwa sana humu JF
JF siku hizi ina villaza wengi.. ila na wene akili pia wameongeza...Mkuu neno linapendwa sana humu JF
Uhuru sana wa kuongea chochote usikute unaongea na nduguJf ni mtandao ulio na uhur san