supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Naziweza sababu mimi ni mkulima na ni mvuviheka heka za kulima unaziweza?
Naziweza sababu mimi ni mkulima na ni mvuviheka heka za kulima unaziweza?
Mbali tafuta wakulima wakusaidie kulisimamia na kupanda miti ya muda mrefu mfano michungwa, miembe, miti ya mbao na minazi. Mazao ya muda mfupi utapata hasara
Mvuvi wa mtoni, ziwani au bahari?Naziweza sababu mimi ni mkulima na ni mvuvi
70 kwa 70 ndo heka mojaMiguu mingapi, ni kwa hatua 70
Kitu ganiHasara ni pale usipo jaribu kufanya kitu
Heka moja ndio, kwa hatua za kawaida70 kwa 70 ndo heka moja
Baharini natumia uvuvi wa kuzamia na kuchokoa pweza, jarife na uvuvi wa kutega nyavuMvuvi wa mtoni, ziwani au bahari?
Kawaida, unaposema 70, lazime useme ni kwa foot au mitaHeka moja ndio, kwa hatua za kawaida
Wagonjwa wanafarijika sana ukiwajulia hali, endelea na huo moyoKawaida yangu kuwajulia hali wagonjwa
Shamba nipeleke mimi halafu nipe jembe la mkono unipe siku 1 tu kwa heka
Vyombo vinasafishika hasa mabaki ya ugali au wali ukiungua kwenye sufuria, pia mawe ya baharini mazuri kusugulia kisigino mguuniNyavu za baharini ni nzuri kuoshea vyombo
Kabisa mkuu, hata sambusa 3 au vitumbuaVitatu vipande vya mihogo nashiba kabisa
Vitamu sana kama vibibi na chapati za majiVitumbua vikolee Nazi halaf uwe mchele mtupu ni vitamu san
Sana sana alikamatwa baada ya kuchoka kukimbiaSan ni kifupisho cha Sana