mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Halipo basi kutakuwa na mboga ya mnavu
Mnavu? Supermarket ndio mboga gani?
Halipo basi kutakuwa na mboga ya mnavu
Sana mwanangu usikose na kachumbari yenye pilipiliTembele Na mihogo NI powa sana
Pembeni kuwe na chai ya moto na papaSan yani napenda hogo liwekwe Nazi na samaki pembeni
Papa ni samaki mwenye chumviPembeni kuwe na chai ya moto na papa
Kiboko ukila na zile mbeguPilipili mbuzi ni kiboko
Chumvi sababu anaishi baharini tena kina kirefuPapa ni samaki mwenye chumvi
Sana mwanangu usikose na kachumbari yenye pilipili
Wapi, kuna miche ya michungwa inauzwa tayari lakini njia nyingine unakwenda soko la tandale unanunua machungwa unakula halafu mbegu unaenda kuzipanda shambaMbegu za mchngwa nitazipata wapi
Ugonjwa wa tumbo kipindi hiki cha mvua kupata ni rahisiPili pili nyingi utapata ugonjwa wa tumbo
Rahisi san kupalilia shambaUgonjwa wa tumbo kipindi hiki cha mvua kupata ni rahisi
Shamba la bangi au?Rahisi san kupalilia shamba
Mbali tafuta wakulima wakusaidie kulisimamia na kupanda miti ya muda mrefu mfano michungwa, miembe, miti ya mbao na minazi. Mazao ya muda mfupi utapata hasaraShamb langu Lipo mbali
Shamba nipeleke mimi halafu nipe jembe la mkono unipe siku 1 tu kwa hekaRahisi san kupalilia shamba
heka heka za kulima unaziweza?Shamba nipeleke mimi halafu nipe jembe la mkono unipe siku 1 tu kwa heka
Miguu mingapi, ni kwa hatua 70Heka moja ni sawa na miguu mingapi
Mingapi mi nini? Mibao au magoli?Heka moja ni sawa na miguu mingapi