Magnesium
JF-Expert Member
- Nov 9, 2014
- 317
- 185
Unapata na nafasi ya kuongeza ajira na kupunguza umasikiniKwa sasa ukilima heka moja ya mihogo unapata milioni na ukilima tikiti zaidi ya milioni tatu mpaka nne unapata
Unapata na nafasi ya kuongeza ajira na kupunguza umasikiniKwa sasa ukilima heka moja ya mihogo unapata milioni na ukilima tikiti zaidi ya milioni tatu mpaka nne unapata
Hakuna mvua za kutosha ndio maana ila tegemea mpaka mwezi wa kwanza utakula sanaMaembe kwetu jaman yamechelewa sana mpk muda huu maembe hakuna
Mazao hasa machungwa na madafu na maembe
Sana huku mvua ni za barafu kila siku zinanyeshaHakuna mvua za kutosha ndio maana ila tegemea mpaka mwezi wa kwanza utakula sana
Mlandizi nitafutie eneo nami nilimeMaembe Na korosho nayalima sana Mlandizi
Mlandizi nina rafiki yangu analima tikitiMaembe Na korosho nayalima sana Mlandizi
Zinanyesha takriban mara ngapi kwa mwakaSana huku mvua ni za barafu kila siku zinanyesha
Sana huku mvua ni za barafu kila siku zinanyesha
Penda sana tikiti na sasa hivi karibu mwaka mzima matikiti yamejaa sokoniTikitimaji nalipenda
Wana JF wapo makini, ni vigumu kuwaongopeaZinanyesha rehema za mwenye Ez Mungu Kwa wote wana JF
Penda sana tikiti na sasa hivi karibu mwaka mzima matikiti yamejaa sokoni
Aina zote za mbogamboga kama tembeleSokoni utapata mboga Na matunda ya kila aina
Sokoni huwa siendi naenda super market
Halipo basi kutakuwa na mboga ya mnavuTembele huku kwetu halipo
Aina zote za mbogamboga kama tembele