ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
Weekend ni siku zipiNdefu sababu ulikuwa na likizo wa wikiend
Weekend ni siku zipiNdefu sababu ulikuwa na likizo wa wikiend
Madera inabidi kidogo uwe na mwiliNguo ninazopenda ni baibui na madera
Mwili unahitaji chakula, maji yakutosha na muda wa kupumzika..Madera inabidi kidogo uwe na mwili
Siku zipi inakuwa wikiend hasa ijumaa jioni, jumamosi na jumapiliWeekend ni siku zipi
Kupumzika, malazi na hewa safiMwili unahitaji chakula, maji yakutosha na muda wa kupumzika..
Kizungu inaitwa sunday watu wanaenda kuolea bichiJumapili inaitwaje kwa kizungu
Supermarket nakukaribisha karibu shambaSafi sana super market
Si sehemu salama sababu ya wezi unaweza kuibiwa nguo, na wengine kuoga na boxer/pichu wanaona aibuBichi si sehemu salam
Mazao ya chakula ndio muhimu zaidi kwa sasaShamba ni sehemu inayolimwa mazao
Mazao hasa machungwa na madafu na maembeShamba ni sehemu inayolimwa mazao
Maembe kwetu jaman yamechelewa sana mpk muda huu maembe hakunaMazao hasa machungwa na madafu na maembe
Kwa sasa ukilima heka moja ya mihogo unapata milioni na ukilima tikiti zaidi ya milioni tatu mpaka nne unapataMazao ya chakula ndio muhimu zaidi kwa sasa
Mchana unakula wakati tupo ktk mfungo na saumu imesheheni....!!?Sasa hivi najiandaa kupika cha mchana