Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Maarifa yako ndugu siku hizi waweza tengeneza apps na ukajipatia kipato,,,,Jf ni kisima cha maarifa
Maarifa yako ndugu siku hizi waweza tengeneza apps na ukajipatia kipato,,,,Jf ni kisima cha maarifa
Maarifa ya jamii somo zuri shule ya msingiJf ni kisima cha maarifa
kazini tu ndio sehemu pekee ya kukuongezea kipatoMaisha ya ulaya au ughaibuni huwaga na stress na dhiki sana, maana kujikimu ni kazini tu....
Hilo ni wazo zuri hasa kipindi hiki cha mvuaMkulima Supa nataka nitumie uzoefu wako katika shamba langu, waonaje hilo?
Kipato changu kimeongezekakazini tu ndio sehemu pekee ya kukuongezea kipato
Kipato kinacho kidhi mahitajikazini tu ndio sehemu pekee ya kukuongezea kipato
Kimekuwa kikubwa tugawane umaskiniKipato changu kimekuwa
Mahitaji yangu ni dollar miaKipato kinacho kidhi mahitaji
Umaskin ni ufukaraKimekuwa kikubwa tugawane umaskini
Dollar mia ni kubwa, turudishie hela zetuMahitaji yangu ni dollar mia
Dollar mia nimekupatia, omba jingine......Mahitaji yangu ni dollar mia
Ufukara umekithiri watu wanakula mlo mmoja kwa sikuUmaskin ni ufukara
Jingine anataka umnunulie nguoDollar mia nimekupatia, omba jingine......
Jengine nalohitaji ni kumiliki ghorofaDollar mia nimekupatia, omba jingine......
Ndefu sababu ulikuwa na likizo wa wikiendSiku ya jumatatu huwa naiona ndefu
Nguo ninazopenda ni baibui na maderaJingine anataka umnunulie nguo