supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kiafya ni vizuri kufanya mazoeziIsiyokubalika kimaadili ni kugawa hashakuma "utupu" bila taratibu za kiafya...
Kiafya ni vizuri kufanya mazoeziIsiyokubalika kimaadili ni kugawa hashakuma "utupu" bila taratibu za kiafya...
Hali niliyoamka nayo ni Wivu usiyo na mfano !!!Wapendwa tuko poa tunamshukuru Mungu, vipi hali
Mfano ukiambiwa utakwenda kama kuna dili la pesa uende mjiniHali niliyoamka nayo ni Wivu usiyo na mfano !!!
Mjini njoo na akili tu, tabia utazikuta huku hukuMfano ukiambiwa utakwenda kama kuna dili la pesa uende mjini
Huku kwetu kijijini tunalima viaziMjini njoo na akili tu, tabia utazikuta huku huku
Navipenda sana na viazi ulayaViazi mbatata navipenda sana
viazi ulaya kwa nini vinaitwa hivyoNavipenda sana na viazi ulaya
Jamani mimi sijawahi kwenda, nichukue basi nikasafishe macho twende woteUlaya kuzuri jamani
Hivyo viazi ndo hivi vya chips asili yake sio hapa Tanzania, sisi tuliletewa mbegu inavyosemekanaviazi ulaya kwa nini vinaitwa hivyo
Inavyosemekana kilichombali waweza kukileta kwa macho na taswira mubasharaHivyo viazi ndo hivi vya chips asili yake sio hapa Tanzania, sisi tuliletewa mbegu inavyosemekana
Maisha ni haya haya hasa kwa mimi mkulimaInavyosemekana ukija ulaya utafurahia maisha
Maisha ya ulaya au ughaibuni huwaga na stress na dhiki sana, maana kujikimu ni kazini tu....Inavyosemekana ukija ulaya utafurahia maisha
Mkulima Supa nataka nitumie uzoefu wako katika shamba langu, waonaje hilo?Maisha ni haya haya hasa kwa mimi mkulima
Jf ni kisima cha maarifaMubashara ni neno pendwa sana hapa jf
Hapa jf mubashara ni kiswahili cha neno tukio live bila chengaMubashara ni neno pendwa sana hapa jf