Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mkuu nilimaanisha six packs !!Sita kama vipi mkuu
Mkuu nilimaanisha six packs !!Sita kama vipi mkuu
Six packs mimi sina, nina kitambi kama mimba ya panyaMkuu nilimaanisha six packs !!
Panya?!!? Aisaee umenichekesha wee, kumbe SupaMaket ni mcheshi.....Six packs mimi sina, nina kitambi kama mimba ya panya
Mcheshi kiasi, mwalimu wangu alinifundisha mtu akikuudhi au kukutukana basi mpe tabasamuPanya?!!? Aisaee umenichekesha wee, kumbe SupaMaket ni mcheshi.....
Tabasamu nifurahiMcheshi kiasi, mwalimu wangu alinifundisha mtu akikuudhi au kukutukana basi mpe tabasamu
Nifurahishe mie nami nitakufurahishajee.....Tabasamu nifurahi
Nitakufurahishajee hiyo ni siri yanguNifurahishe mie nami nitakufurahishajee.....
Yangu imechakaa hadi utaisusa.....Nitakufurahishajee hiyo ni siri yangu
Utaisusa wenzio walaYangu imechakaa hadi utaisusa.....
Wala hatukulagi vya shemejiUtaisusa wenzio wala
Shemeji mwenye Utu na uungwana Supa !! Heshima na taadhima ninakutangulizia...Wala hatukulagi vya shemeji
Nitakutangazia wewe unataka kususaShemeji mwenye Utu na uungwana Supa !! Heshima na taadhima ninakutangulizia...
NITAKUTANGULIZIA PIA.. LAKINI KABLA YA KUFIKA HUKO, we umeowa?Shemeji mwenye Utu na uungwana Supa !! Heshima na taadhima ninakutangulizia...
Nakutangulizia shukrani za dhati shemeji za upendo kwa dadaShemeji mwenye Utu na uungwana Supa !! Heshima na taadhima ninakutangulizia...
Kususa ni tabia isiyokubalika.Nitakutangazia wewe unataka kususa
Isiyokubalika na jamii kama kununa na mashauziKususa ni tabia isiyokubalika.
Isiyokubalika kimaadili ni kugawa hashakuma "utupu" bila taratibu za kiafya...Kususa ni tabia isiyokubalika.
Kiafya, si salama kufanya ORAL SEXIsiyokubalika kimaadili ni kugawa hashakuma "utupu" bila taratibu za kiafya...
Wapendwa tuko poa tunamshukuru Mungu, vipi haliIsiyokubalika nini mmeamkaje wapendwa