Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nan ni mlezi wa masista na watawa.....Mmelala na nan
Nan ni mlezi wa masista na watawa.....Mmelala na nan
Watawa wanajitahidi sana kujihifadhiNan ni mlezi wa masista na watawa.....
Kujihifadhi na kutunza mazingira ni wajibu wa kila mtu hapa uraiani.....Watawa wanajitahidi sana kujihifadhi
Uraiani watu wanahasira maisha magumuKujihifadhi na kutunza mazingira ni wajibu wa kila mtu hapa uraiani.....
Magumu hapo kipimo cha akiliUraiani watu wanahasira maisha magumu
Akili ya mtu inavyomtuma anafanya hivyo hivyoMagumu hapo kipimo cha akili
Hivyo na hii mvua inayonyesha ni kulalaAkili ya mtu inavyomtuma anafanya hivyo hivyo
Kulala ni afyaHivyo na hii mvua inayonyesha ni kulala
Afya ni ya kuitunza mnooKulala ni afya
Mnofu wa nyama ni mtamuAfya ni ya kuitunza mnoo
Mtamu nyama ya kukuMnofu wa nyama ni mtamu
Kuku wa kuchemsha au wa kukaangaMtamu nyama ya kuku
Kukaanga,kuchemsha mie ili mradi ni kukuKuku wa kuchemsha au wa kukaanga
Kuku ni mtamu lakini ukiendekeza kula nyama yake utanenepa kibonge kama mimiKukaanga,kuchemsha mie ili mradi ni kuku
Mimi nakula kuku lakini sio kibongeKuku ni mtamu lakini ukiendekeza kula nyama yake utanenepa kibonge kama mimi
Kibonge mimi nina kitambi kwa kupenda kula kulaMimi nakula kuku lakini sio kibonge
Kula kwa nidhamu upunguze kitambi... Kitambi sikipendiKibonge mimi nina kitambi kwa kupenda kula kula
Sikipendi hata mimiKula kwa nidhamu upunguze kitambi... Kitambi sikipendi
Mimi siyo mwenzenu nimejijengea vifurushi sita..!!!Sikipendi hata mimi
Sita kama vipi mkuuMimi siyo mwenzenu nimejijengea vifurushi sita..!!!